Katika watu siwaamini tz wa kwanza hawa polisi mbwa wakubwa polisi makatili hawana maanama hata kidogo washenzi tz hakuna sheria wajutiwa ndani wote huyo mtt anokunja nguo na bibi yake wakati mtoto kapatikanwa chumba cha huyo bibi ushahidi gani hapo unaotakiwa washenzi nyie polisi natamani wauliwe polisi pote wa tz sina imani nao lol
@@VivianNasari-jq6id Hivi kwa style hio wakina mama watafanya Nini maana mtoto kaachwa ndani tena amelala chumbani,kwa Sasa hata uwe makini vipi imeshakuwa ni mtihani kwa watoto maana wamekuwa walengwa wa kufanyiwa ukatili
Swali sawa akumuona jee mtt anaee tambaa nani alimpeleka chumbani sawa alitambaa akaenda chumbani je nani alimpandisha kitandani sawa alipanda juu ya stuliakajitupa dakika hizohizo kimalaika kikapitiwa nausingizi akati kilitokq kuamka chumbani kwa kaka yake wa miaka 12 akibinywa vizur kucha na maziwa ata sema tu sheziii😢😢😢😢
Huyo mjukuu akipewa soda na biskut ataongea ukweli Hao watu ni wauwaji mkinyamaza atakuja Kufanya tena Kwa mwingine atimize lengo huenda katumwa na mganga
Yaan hapo aliempeka huyo mtoto huko chumban nakumpandisha kitandan ndio wamtafute na kunauwezekana mkubwa huyo mtoto mwenye miaka kumi na mbili hakumuona huyo hapo kitandani, maana kunawatu hawatandikagi vitanda vyao unakuta mishuka imerundikana kitandan miblanket mito, yaan ovyo ovyo stail
Jamani mtoto mzuri Damu yake itawalilia Mungu yupo
Mungu awalaani waliousika kumuua mtoto WAMEMUUA KUSUDI,poleni sana wazazi 💔😭😭
Dada Geah sisi wananchi tunakuamini saaana,fuatilia hii kesi utuondolee utata sisi wananzengo,Mtoto anauma jamani 😢😢
Hao wanajuwa kilicho muuwa mtoto 😢 huyo bibi
Katika watu siwaamini tz wa kwanza hawa polisi mbwa wakubwa polisi makatili hawana maanama hata kidogo washenzi tz hakuna sheria wajutiwa ndani wote huyo mtt anokunja nguo na bibi yake wakati mtoto kapatikanwa chumba cha huyo bibi ushahidi gani hapo unaotakiwa washenzi nyie polisi natamani wauliwe polisi pote wa tz sina imani nao lol
stori kama mimi nikisikia.nalia😢😢😢😢 tu sielew dhamila zao jaman
Hapo kuna kitu sio bure, haiwezekani mtu aweke nguo juu ya mtoto asimuone sio kweli huyo mtoto wa miaka 12 aulizwe vizuri atasema ukweli wote
Kabisa
Police wetu wa Tanzania Mungu anawaona
Bibi na Mjukuu wake Mungu awalaani kwa hiki kitendo mlichofanya. Police nao sijui walipewa hongo ilikuyeyusha kesi
sema hao wauwaji awakutakiwa kua hai sema raia tunahofu na serikali tu wangeungwa kwenye kipigo mpka kufa😢
Kamanda anaamua kupindisha maneno. Hapa yaliyosemwa ni kwamba marehemu alionekana ameshakufa. Sasa Kamanda inamsaidia nini kusema marehemu alifariki akiwa anapatiwa matibabu? Hivi marehemu anapatiwaga matibabu?kutoka lini?
Nimeshangaa pia lkn wakina mama kaeni na watotowenu
@@VivianNasari-jq6id
Hivi kwa style hio wakina mama watafanya Nini maana mtoto kaachwa ndani tena amelala chumbani,kwa Sasa hata uwe makini vipi imeshakuwa ni mtihani kwa watoto maana wamekuwa walengwa wa kufanyiwa ukatili
Huyo mjukuu ange banwa kwa kichapo ange ongea ukweli wote mbana lia afande bhana!
Mungu atusamehe jameni utu umeenda wapi Kwa wanadamu mungu tusamehe tuhurumie
Mtoto mzuri jamani ana umri kama wa mtoto wangu poleni wazazi
Aisee,
Unawez kumwekea mtoto nguo ambaye hajalala afu asilie au kutoa ishara yyt kwamba yupo hapo?
Kwahiyo mtoto alitoka ndani kwao alipo lazwa na kwenda kulala kitandani kwa huyo dada 😢
Swali sawa akumuona jee mtt anaee tambaa nani alimpeleka chumbani sawa alitambaa akaenda chumbani je nani alimpandisha kitandani sawa alipanda juu ya stuliakajitupa dakika hizohizo kimalaika kikapitiwa nausingizi akati kilitokq kuamka chumbani kwa kaka yake wa miaka 12 akibinywa vizur kucha na maziwa ata sema tu sheziii😢😢😢😢
Kweli kabisa 😢
Azikwi mtoto hapo lazima wanipe mwanangu 😢
Yani kama police wameshindwa kunisaidia mimi ningechukua sheria mkononi,ningemfungia huyo bibi na mjukuu wake ningewapa kipondo mpaka wangesema ukweli
Itakuwa huyo mtoto wa bibi alikuja kumchukua.....hao ni wanga wamemtoa mtoto kafala
Wakamatwe huyo bibi na mjukukuu wake wajinga wakubwa
Kauawa kweli
Poleni sana
Mtt wa miaka 12 ni mtt huyo si wa darasa la 7 u la 6
Ila polisi Tanzania😮 Mungu arusaidie
😢😢😢
Mmmmm,naishiwa na maneno
Nimeamin mapolice wanarahama wakistaafu wanapata shida sana
Huyo mjukuu akipewa soda na biskut ataongea ukweli Hao watu ni wauwaji mkinyamaza atakuja Kufanya tena Kwa mwingine atimize lengo huenda katumwa na mganga
Pole sana
Ao polis wafukuzwe
Ningesubiri wamelala nikawachomea ndani wote kumamake
Kweli kabisa Yani iwe na liwalo
Asa hapo kiandani kapandaje hapo kitandani jmni mbona hivi jmni mbona hivi mtoto mdogo 😢😢😢
Yaani nenden mkapasue chungu,hao mbwa muwakomeshe mashetwani makubwa,yalitaka kumsafirisha yakampike kiuchawi.Police tendeni haki.
Jamani nielekeze nikapasuwe chungu kuna watu wakorofi huku
Watakufa wasio na hatia
Serikali ichukuwe ili swala sirianzi
Kwa maelezo tu unaona tayar police wameamini maneno ya bibi / wauaji na wamewaachia huru dah nchi yangu sjui tunaelekea wapi.
Jmniii khaaa. Dunia imebadilik
HAPO LAZIMA POLICE WAHUSISWE KABISA.
Duuuu Mungu tusaidie
NA SISI WANGONI TULIVYOWACHAWI , TUNAPENDA SANA KUUWANA.😮
ILIBIDI UANZIE KWA MJUMBE MOJA KABLA YANHOSIPITALI. KAMA ULIONANAMESHAKUFAA BASI BOLA UNGEANZIA KWAMJIMBE.
Yani police Tanzania ndo maana mnakufa masikini unamuachiaje huru muuaji?
😢😢😮😮😮😢😢
Mbona yule mtoto wa jirani alisema anaye dada bibi yake akawa anamtizama anaogopa
Yaan hapo aliempeka huyo mtoto huko chumban nakumpandisha kitandan ndio wamtafute na kunauwezekana mkubwa huyo mtoto mwenye miaka kumi na mbili hakumuona huyo hapo kitandani, maana kunawatu hawatandikagi vitanda vyao unakuta mishuka imerundikana kitandan miblanket mito, yaan ovyo ovyo stail
Hapan kwakweli na kumkalia juu weee
Jmn poleni sana uchingu
Yani inauma sana kupoteza mtoto
Nani amempandisha kitandan na kwann hawakuonyesha ushirikiano kumtafta uyo bib anausika na ilo tukio wakimbana uyo bint atanyoosha maelez
SASA POLICE WANASEMAJE?
Jamani kwanini du amefunikwa na nguo du pule sana
Wachawi hawa wameloga mpaka police wanashindwa kuwa hukumu
Aisee inauma hao majiran. ndo wamemuua mtoto dah
Mm ningewatia kibiriti ndani wakiwa wamelala
Huko alikofia ni kwa nani? Kwanza tuanzie hapo
Amekutwa kweny chumba cha huy bibi na mjukuu wake ndo alikuwa amemkalia na kumwekea nguo juu
au alimnyanyua akamuangusha ndo akafariki
Wasingepewa dhamana mpaka ukwel ujulikane